Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
[[Image:Great Rift Valley.png|thumb|200px|right|Mikono miwili ya Bonde la Ufa katika Afrika ya Mashariki]]
 
Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki lina urefu wa kilomita 6,000 kuanzia chanzo chake katika [[Syria]] hadi mwisho wake upande wa kusini katika [[Msumbiji]]. Upana wake ni kati ya kilomita 30 na zaidi ya 100; kina chake ni kati ya mita mia kadhaa hadi maelfu.
 
===Sehemu ya Asia ya Magharibi===
Upande wa kaskazini ufa inaanza kwenye mpaka wa [[Syria]] na Libanoni[[Lebanoni]] ikionekana katika bondeuwanja Bekaawa [[Beka'a]] kati ya [[milima ya Lebanoni]] na [[milima ya Lebanoni ndogo]].
 
Inaendelea katika mabonde ya [[mto Yordani]] na [[Wadi Araba]] hadi kuingia katika [[Ghuba ya Akaba]] na [[Bahari ya Shamu]].
 
===Sehemu ya Uhabeshi===