Mkoa wa Mbeya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
Mbeya na Mbozi kahawa hupandwa. Rungwe pana chai nyingi, pamoja na Rungwe na Chimala hulimwa mpunga. Nyanda za juu kuna nafaka na viazi.
 
Kijiolojia mkoa wa Mbeya ni eneo la kukutana kwa mikono miwili ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]] inayoendelaea hapa katika ziwa Nyasa.
 
== Maziwa na mito ==
Mkoa wa Mbeya inapakana na maziwa mawili makubwa ndiyo [[Ziwa Nyasa]] na [[Ziwa Rukwa]]. Hasa milima yenye asili ya volkeno ya wilaya ya Rungwe inyajaa maziwa ya kasoko.
 
Mito mikubwa ni [[Songwe (mto)|Songwe]] na [[Kiwira (mto)|Kiwira]]. Chanzo ya [[mto Ruvuma]] iko pia Mbeya katika tambarare ya [[Usangu]].