Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
Salaam!
Ulipendekezwa na kukubaliwa kupata haki za mkabidhi. Je, uko tayari kupokea uteuzi huu na kushiriki katika kazi mara kwa mara kama jinsi ilivyoelezwa katika ukurasa wa wakabidhi? Tunaomba jibu lako kwa baruapepe katika wiki hii. Tumia zana za Wikipedia kutuma barua pepe. --[[User:Muddyb|<font color="blue"><sub>''''Muddyb Mwanaharakati''''</sub></font>]]</span> <font face="Comic Sans MS">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="black"><sup>''''Longa''''</sup></font>]] 07:46, 13 Septemba 2020 (UTC)
 
==Mfano wa makala ya kata==
Kuna mawili:
# Nilifanya kosa dogo kwa kungiza <nowiki>[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa Morogoro]]</nowiki> ambayo haina maana kwenye makala za kata (inahitajika kwenye makala za wilaya). Nimesahihisha na kuiondoa.
#Kabla ya kuhifadhai angalia yote kwa kubofya "Onyesha hakikisho la mabadiliko" uangalie kama jamii chini bado ni nyekundu. Katika majaribio yako ulitumia "Jamii:Wilaya ya Dodoma '''mjini'''" inayoonekana nyekundu maana jina ni kwa "M" kubwa yaani "Jamii:Wilaya ya Dodoma '''Mjini'''". Hi ni tatizo dogo kwa sababu wachangiaji mbalimbali walianzisha jamii kwa tahajia tofauti kidogo. Inafaa tuangalie ile preview hadi chini. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 15:10, 28 Septemba 2020 (UTC)