Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 13:
==Mfano wa makala ya kata==
Kwa jumla hongera, umeshika mfumo haraka na vizuri. Nadhani ni zoezi nyepesi; angalia tu kama majina mekundu yanatosha (kwa kufungua wilaya zote za mikoa Dodoma, Arusha, Morogoro na kukadiria idadi), kwa sababu ni vizuri kama kila mmoja anaweza kurudia kazi mara kadhaa. Kuna mawili:
# Nilifanya kosa dogo kwa kungizakuingiza '''<nowiki>[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa Morogoro]]</nowiki>''' ambayo haina maana kwenye makala za kata (inahitajika kwenye makala za wilaya). Nimesahihisha na kuiondoa.
 
#Kabla ya kuhifadhai angalia yote kwa kubofya "Onyesha hakikisho la mabadiliko" uangalie kama jamii chini bado ni nyekundu. Katika majaribio yako ulitumia "Jamii:Wilaya ya Dodoma '''mjini'''" inayoonekana nyekundu maana jina ni kwa "M" kubwa yaani "Jamii:Wilaya ya Dodoma '''Mjini'''". Hi ni tatizo dogo kwa sababu wachangiaji mbalimbali walianzisha jamii kwa tahajia tofauti kidogo. Inafaa tuangalie ile preview hadi chini. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 15:10, 28 Septemba 2020 (UTC)