Wilaya ya Korogwe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wikidata interwiki
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Korogwe.GIF|thumb|250px|ramani ya mahali pa wilaya ya Korogwe katika [[mkoa wa Tanga]]]]
'''Wilaya ya Korogwe''' ilikuwa moja ya wilaya saba7 yaza [[Mkoa wa Tanga]] nchini [[Tanzania]] hadi mnamo 2011. Baadaye iligawiwa kwa [[Wilaya ya Korogwe Vijijini]] na [[Wilaya ya Korogwe Mjini]]. Mwaka 2002 ilikuwa na wakazi 261,004 <ref>[http://web.archive.org/web/20040318021955/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/korogwe.htm Matokeo ya sensa 2002]</ref>.
 
WilyaWilaya ya Korogwe ilikuwa na Tarafa nne nazo ni Korogwe, Magoma, Mombo na Bungu. Trafa ya Bungu ndio pekee ambayo makao yake makuu yako katika vilele vya milima ya Usambara mashariki. Tarafa hiyo inakata zifuatazo. Dindira, Vugiri, Bungu kibaoni na Lutindi.
 
==Marejeo na Viungo vya Nje==