Uhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+A villager in traditional attire.jpg #WLF→‎Watu
Mstari 140:
 
==Watu==
[[File:A villager in traditional attire.jpg|thumb|right|Mwanakijiji wa Kihindi katika mavazi ya jadi]]
[[Lugha ya taifa]] ni [[Kihindi]], ambacho ni [[lugha ya Kihindi-Kiulaya]], pamoja na [[Kiingereza]] ambacho pia ni [[lugha rasmi]]. Kuna [[lugha]] 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana.
 
Line 150 ⟶ 151:
Wakazi walio wengi (79.8 %) hufuata [[dini]] ya [[Uhindu]]. Takriban 14.2 % ni [[Uislamu|Waislamu]]; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya tatu katika [[umma]] wa Kiislamu duniani baada ya Waislamu wa [[Indonesia]] na Pakistan.
 
Dini nyingine ni [[Ukristo]] (2.3 %), [[Usikh]] (1,7 %), [[Ubuddha]] (0.7 %), [[Ujain]] (0.4 %), [[Uzoroastro]] na [[Bahai]].
 
== Tazama pia ==