Jamhuri ya Watu wa China : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
+My grandparents.jpg #WLF→‎Watu
Mstari 138:
 
== Watu ==
[[File:My grandparents.jpg|thumb|right|Wazee wa jamhuri ya watu wa China]]
China ikiwa na wakazi milioni 1,400 (Januari 2020) ni nchi yenye watu wengi zaidi duniani. [[Historia]] yake yote iliona tena na tena vipindi vya [[njaa]] kutokana na idadi kubwa ya watu wake. [[Msongamano]] wa watu kwa [[wastani]] ni wakazi 145 kwa [[kilomita ya mraba]]. Lakini tofauti ziko kubwa kati ya miji mikubwa ambako milioni 115 wanakaa kwenye eneo la [[km²]] 50,000 na Tibet yenye watu 2 tu kwa kilomita ya mraba.