Tofauti kati ya marekesbisho "Lindi (mji)"

62 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
msimbo wa posta, masahihisho kadhaa
No edit summary
(msimbo wa posta, masahihisho kadhaa)
 
}}
'''Lindi''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Lindi]] ikiwa na halmashauri yake ya kujitegemea kama wilaya ya pekee. [[Mfumo wa Msimbo wa Posta Tanzania|Msimbo wa posta]] ni '''651 '''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/lindi.pdf</ref>. Lindi iko mdomoni wa mto [[Lukuledi]] takriban 150&nbsp;km kaskazini ya [[Mtwara]] mwambaoni wa [[Bahari Hindi]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 41,549 <ref>[http://web.archive.org/web/20030503115556/http://www.tanzania.go.tz/census/districts/lindiurban.htm Tanzania.go.tx/census/districts/lindiurban].</ref>
 
Lindi ilikuwa kati ya miji ya Waswahili kwenye pwani la [[Bahari ya Hindi]]. Mdomo wa Lukuledi ilikuwa bandari nzuri kwa ajili ya jahazi za Waswahili na pia kwa meli ndogo za zamani za ukoloni. Siku hizi haitoshi tena kwa meli kubwa.