Mahmoud Abbas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb '''Mahmoud Abbas''' (Kiarabu: مَحْمُود عَبَّاس‎, romanized: Maḥmūd ʿAbbās; alizaliwa 15 N...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:16, 1 Oktoba 2020

Mahmoud Abbas (Kiarabu: مَحْمُود عَبَّاس‎, romanized: Maḥmūd ʿAbbās; alizaliwa 15 Novemba 1935), anayejulikana pia na kunya Abu Mazen (Kiarabu: أَبُو مَازِن‎, ʾAbū Māzin), ni Rais wa Jimbo la Palestina na Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina. Amekuwa Mwenyekiti wa Shirika la Ukombozi wa Palestina (PLO) tangu 15 Januari 2005