Anwani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Anwani ni maelezo jinsi ya kumkuta mtu au mahali. ==Anwani ya posta== Picha:Anwani yenye msimbo wa posta.jpg|350px|thumb|Anwani kwenye barua inayotaja jina l...'
 
No edit summary
Mstari 26:
 
Mfano:
* '''<nowiki>https://sw.wikipedia.org/wiki/Anwani</nowiki>''' ni URL ya makala hii
* '''<nowiki>https://nation.africa </nowiki>''' ni URL ya tovuti la gazeti "The Nation" kutoka Nairobi
 
==Anwani ya kijiografia (majiranukta)==
Anwani ya kijiografia au [[majiranukta]] inataja mahali duniani au hata kwenye anga kwa kurejea fomati ya [[latitudo]] na [[longitudo]].
 
Mfano majiranukta za '''6°10′S 35°44′E''' (digrii 6 na dakika 10 Kusini, digrii 35 na dakika 44 Mashariki) yanataja nafasi ya Dodoma kwenye uso wa ardhi. Yanaweza kuandikwa pia hivyo kwa njia ya kidesimali : '''-6.166667, 35.733333'''.
 
== Viungo vya Nje ==