New Jersey : Tofauti kati ya masahihisho

1 byte removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
|website = http://www.nj.gov/
}}
[[Picha:Map of New Jersey NA.png|thumb|leftright]]
'''New Jersey''' (Jersey Mpya) ni [[jimbo]] la kujitawala la Muungano wa Madola ya Amerika au [[Marekani]]. Mji mkuu ni [[Trenton]] lakini mji mkubwa ni [[Newark]]. Uko kwenye pwani ya [[Atlantiki]] upande wa mashariki ya Marekani bara.
 
Impepakana na [[New York]], [[Delaware]] na [[Pennsylvania]]. Upande wa mashariki maji ya [[Atlantiki]].
 
Jimbo lina wakazi wapatao 8,682,661 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 22,608.
 
New Jersey ilikuwa koloni ya [[Uingereza]] tangu 1729 na pia moja kati ya koloni 13 zilizoasi dhidi ya Uingereza mwaka [[1776]] na kuunda nchi mpya ya Marekani tangu [[1778]].
 
[[Picha:Map of New Jersey NA.png|thumb|left]]
 
==Viungo vya Nje==
Anonymous user