Kireno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Map-Lusophone World-en.png|thumb|right|400px|Nchi penye Kireno kama lugha rasmi]]
'''Kireno''' (''Português'' - tamka "purtuGESH") ni [[lugha za Kirumi|lugha ya Kirumi]] inayozungumzwa hasa nchini [[Ureno]] na [[Brazil]], lakini pia [[Kusini mwa Afrika]], [[Asia Kusini]] na [[Asia Kusini-Mashariki]].
 
Imekuwa [[lugha ya kimataifa]] kutokana na [[historia]] ya [[ukoloni]] ya [[Ureno]] ikiwa na wasemaji wa [[lugha ya kwanza]] [[milioni]] 210-215; pamoja na wasemaji wa [[lugha ya pili]] kuna [[watu]] milioni 270 [[duniani]] wanaoelewana kwa Kireno, hivyo ni lugha ya 5 au ya 6 [[ulimwenguni]].
 
Kutokana na historia ya ukoloni Kireno kimepatikana katika nchi zifuatazo: