Umoja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d +File:Coat of arms of Tanzania.svg #WPWP #WPWPTZ
Nimeondoa koze kwenye maelezo ya picha
Mstari 1:
[[File:Coat of arms of Tanzania.svg|thumb|right|[[Nembo]] ya [[Taifa]] la Tanzania ikihimiza [[Umoja]] hasa katika [[nchi]] hiyo]]
'''Umoja''' katika [[hisabati]] unahusu [[sifa]] maalumu za [[namba]] [[moja]] na za mambo yote yasiyo na [[wingi]].
 
Kutokana na maana hiyo ya msingi, [[neno]] umoja linatumika katika fani mbalimbali, kuanzia [[dini]], ambapo katika [[imani]] ya wengi (kama vile [[Wayahudi]], [[Wakristo]] na [[Waislamu]]) umoja ni hasa sifa ya [[Mungu]].