Mtayarishaji wa filamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Nimeongeza viungo
Nimeondoa koze kwenye maelezo ya picha
Mstari 1:
[[File:Meta Louise Foldager.jpg|thumb|right|'''Meta Louise Foldager''', [[mtayarishaji]] wa [[filamu]] toka nchini [[Denmark]]]]
'''Mtayarishaji wa filamu''' ni mtu anayeanzisha mandhari ya utengenezaji wa [[filamu]]. [[Mtayarishaji]] hutazama na kudhibiti vitu kama vile upatikanaji wa [[fedha]] ili kutengeneza filamu, kuajiri watu, na kupanga maandalizi ya kupeleka filamu kwa wasabambazaji. Matayarishaji wa filamu hu-husika katika kila sehemu ya uchakataji wa utayarishaji wa filamu kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mradi. Kikawaida, huhesabiwa kama mfanyakazi mkuu na hana mamlaka na upande udhibiti wa usanii katika utangenezaji wa filamu, wakati [[mwongozaji wa filamu|mwongozaji]] ni kiongozi katika kupiga filamu na sehemu ya [[usanii]].