Armen Sarkissian : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb '''Armen Vardani Sargsyan''' (Kiarmenia: Արմեն Վարդանի Սարգս...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:02, 6 Oktoba 2020

Armen Vardani Sargsyan (Kiarmenia: Արմեն Վարդանի Սարգսյան; amezaliwa 23 Juni 1953) ni mwanasiasa wa Armenia, fizikia na mwanasayansi wa kompyuta ambaye amewahi kuwa Rais wa Armenia tangu 2018