20th Century Studios : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''20th Century Studios''' (ilijulikana kuanzia [[1935]] hadi [[1985]] kama '''Twentieth Century-Fox Film Corporation''') ni kampuni kubwa ya Kimarekani inayo-jishughulisha na masuala ya utengenezaji wa filamu. Studio ipo mjini [[Century City, Los Angeles, California|Century City]] katika eneo la [[Los Angeles, California]], Marekani, yaani magharibi mwa [[Beverly Hills, California|Beverly Hills]]. Studio hii ni kampuni tanzu ya [[News Corporation]], [[shirikisho la vyombo vya habari]] linalomilikiwa na [[Rupert Murdoch]].
 
Twentieth Century Fox ilianzishwa mnamo 1935 pale [[Fox Film Corporation]] na [[Twentieth Century Pictures]] walipoungana na kuunda kampuni. [[20th Century Fox Television]] ni moja ya sehemu ya kampuni ambayo hasa hujishughulisha na masuala ya utayarishaji wa vipindi vya tevisheni.
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.imdb.com/company/co0044078/ 20th Century FoxStudios] at the [[Internet Movie Database]]
 
{{mbegu-filamu}}