Chama cha Jamhuri cha Marekani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:GOP logo.svg|alt=Chama_cha_Jamhuri_cha_Marekani|thumb|Chama_cha_Jamhuri_cha_Marekani]]
'''Chama cha Jamhuri cha Marekani''' (kwa [[Kiingereza]] “Republican“'''Republican Party”Party'''” au "Grand Old Party") ni [[chama cha kisiasa]] nchini [[Marekani]].
 
KilianzishwaNi mwakakimoja wakati [[1854]]ya navyama tanguviwili palevya kikawakisiasa chamavinavyoongoza chenyesiasa nguvuya Marekani tangu karne ya 20 kikigombeana na [[Chama cha Kidemokrasia cha Marekani|Chama cha Kidemokrasia]] katika [[mfumo wa vyama viwili]].
 
==Chanzo kama chama kilipinga utumwa==
Kilianzishwa mwaka wa [[1854]] kwa lengo la kupinga [[utumwa]]<ref>[https://www.loc.gov/rr/main/polcon/republicanindex.html "Republican National Political Conventions 1856-2008 (Library of Congress)"], tovuti ya www.loc.gov. Archived from the original on February 20, 2019. Retrieved March 12, 2019.</ref> na mgombea wake wa uraisi [[Abraham Lincoln]] alishinda uchaguzi wa mwaka 1860; wakati wa [[vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Marekani]] (1861-1865) wabunge wa chama hicho walibatilisha utumwa kisheria<ref>[https://www.history.com/news/congress-passes-13th-amendment-150-years-ago Klein, Christopher. "Congress Passes 13th Amendment, 150 Years Ago"], tovuti ya history.com, archived from the original on March 30, 2019. Retrieved March 12, 2019.</ref>.
 
==Shabaha za kisiasa==
Mwelekeo wa chama ulibadilika katika historia yake; mwanzoni kilitazamiwa kusimama zaidi upande wa shabaha za kimaendeleo<ref>Skocpol, Theda (1993). "America's First Social Security System: The Expansion of Benefits for Civil War Veterans". Political Science Quarterly. 108 (1): 85–116. doi:10.2307/2152487. JSTOR 2152487.</ref> kama haki za watumwa wa awali, kubana athira ya makampuni makubwa na kulinda maeneo makubwa kama [[hifadhi ya taifa]]. Sehemu kubwa ya chama ilisimama pia upande wa haki ya wanawake kupiga kura iliyopitishwa mwaka 1920. Katika karne ya 20 mwelekeo wa chama ulibadilika. Siku hizi siasa yake inalenga kutetea soko huria yaani ubepari bila vikomo, kupinga mabadiliko ya kiutamaduni kama kutambua haki za washoga, kutetea familia ya kimapokeo, kupinga kupandishwa kwa kodi kwa kulipa taasisi ya umma na nafasi kubwa ya serikali katika maisha ya watu. Kinapinga siasa ya kijamii inayotaka kuwasaidia maskini kupitia vyombo vya dola kikikazia wajibu wa kila mtu kujitegemea na kuwasaidia wengine kwa hiari. Chama kilisimama upande wa biashara huria ya kimataifa lakini tangu kupotea kwa tasnia nyingi kimebadilisha msimamo huu.
 
Katika miaka ya nyuma, hasa chini ya rais Donald Trump, Chama cha Jamhuri kimepata kura hasa ya Wakristo wa Kievangelical wanaohofia mabadiliko ya kiutamaduni na wafanyakazi weupe wanaohofia kunyimwa haki na mapato kutokana na kupotea kwa tasnia nyingi, kusogea mbele kwa wahamiaji wapya kutoka Amerika Kusini pamoja na matumizi ya pesa ya dola kwa ajili ya watu weusi.
 
==Marais==
 
Kulikuwa na [[Rais wa Marekani|Marais]] kumi na wanane kutoka Chama cha Jamhuri, kuanzia [[Abraham Lincoln]] ([[1861]]-[[1865]]) hadi [[George W. Bush]] ([[2001]]-[[2009]]).
 
Kuanzia tarehe [[20 Januari]] [[2017]], [[Donald Trump]] alikuwa [[rais]] wa 19 kutoka chama hicho.
 
==Marejeo==
<references/>
 
{{mbegu-siasa}}