Chuo Kikuu Huria cha Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Nimeongeza taarifa kiasin kwenye ukurasa huu
Mstari 1:
[[Picha:Out Logo.jpg|thumb|Nembo ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT)]]
'''Chuo Kikuu Huria cha Tanzania''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Open University of Tanzania'') ni [[chuo kikuu]] kinachotoa [[kozi]] za [[cheti]], [[stashahada]] na [[shahada]] kupita [[masomo ya mbali]] (Distance Learning). [[Makao makuu]] yako [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]]. Chuo Kikuu Huria kina takribani wanafunzi 70,000 kutoka ngazi mbalimbali za kitaaluma.
 
==Historia==
Mstari 10:
 
==Taaluma==
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinatoa stashahada, diploma na shahada mbalimbali kupitia [[elimu]] ya [[Mtandao|kimtandao]] au elimu ya masafa ya juu kwa njia ya [[tehama]] au nyenzo nyingine mbalimbali za [[Teknolojia|kiteknolojia]]. Shughuli za chuo zinafanyika na kutoa [[huduma]] katika viwango vya utendaji na usimamiaji wa baraza la vyuo vikuu Tanzania ([[TCU]]). Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinatoa programu takribani 125.
 
==Vituo==
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kina vituo kwenye [[mikoa]] [[Mikoa ya Tanzania|zaidi ya 30]] nchini Tanzania; hii ni kujumlisha na vituo vya [[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar]] ([[Unguja]] na [[Pemba]]), [[Kenya]] vituo viwili (Chuo cha Egerton na Njoro), [[Rwanda]] (eneo la Kibungo), [[Uganda]] na [[Namibia]] (Chuo cha Triumph).
 
Vituo vingine vya mashirikiano ya ndani ni ACDE-TCC (African Council for Distance Education- Technical Collaboration Committee), CECED (Centre for Economics and Community Economic Development), SADC ODL CoS TE (SADC Centre of Specialization in Teacher Education).
 
Chuo Kikuu Huria kina vituo vya kusomea takribani 69 ndani ya [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]].
 
== Vitivo ==