Wilaya ya Newala Vijijini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Newala hadi Wilaya ya Newala Vijijini
viungo
Mstari 7:
 
Idadi kubwa ya wakazi wa wilaya ya Newala ni [[wakulima]] na [[zao]] kuu la [[biashara]] ni [[korosho]].
 
Mnamo mwaka 2015 maeneo ya [[Newala mjini]] yalipewa halmashauri ya pekee na hivyo kutengwa na Wilaya ya awali<ref>[http://newalatc.go.tz/history Historia], tovuti ya Halmashauri ya Mji wa Newala</ref>.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
==Viungo vya Nje==
*[http://newaladc.go.tz/# Tovuti rasmi ya Newala District Council]
 
{{mbegu-jio-mtwara}}