Tenno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wikidata interwiki
2019.
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 2:
'''Tenno''' ni cheo cha [[mfalme]] au [[kaisari]] wa [[Japani]]. Kufuatana na [[katiba]] ya nchi yeye ni "ishara wa dola na wa umoja wa taifa".
 
Tenno wa sasa ni [[Akihito]] aliyepokea cheo baada ya kifo cha babake [[HirohitoNaruhito]] mwaka 19892019.
 
Historia ya Japani inamkumbuka tenno wa kwanza kabisa aliyekuwa Jimmu mnamo [[660 KK]]. Wataalamu wengine huwa na mashaka lakini wanakubali ya kwamba watawala hawa walikuwepo angalau tangu karne ya 5 BK. Hadi karne ya 19 ikulu yao ilikuwa mjini [[Kyoto]], tangu Meiji iko [[Tokyo]].