Foolish Age : Tofauti kati ya masahihisho

Filamu ya kitanzania ya mwaka 2013
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''''Foolish Age'''''ni wa kitanzania mchezo filamu iliyotolewa mwaka 2013 . Iliandaliwa na Elizabeth Michael.<ref>http://www.bongocinema.com/movies/vie...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:59, 10 Oktoba 2020

Foolish Ageni wa kitanzania mchezo filamu iliyotolewa mwaka 2013 . Iliandaliwa na Elizabeth Michael.[1] Filamu hii inachanganua ushawishi hasi wanaokutana nao vijana walio katika balehe.[onesha uthibitisho]

Muundo

Filamu hii inaelezea hadithi ya Loveness (Elizabeth Michael) msichana mdogo aliyelelewa na baba tajiri baada ya kifo cha mama yake kwa Ugonjwa wa UKIMWI miaka kadhaa iliyopita. Loveness na baba yake pia wanaishi na virusi vya UKIMWI. Loveness anasoma ughaibuni ila baadaye anamlazimisha baba yake aje kusoma Nchini mwake, Tanzania. Anapata shule mpya na kutengeneza marafiki, lakini rafiki wake wa dhati (Diana Kimaro) siyo msichana mwema. Wanajihusisha na mapenzi katika umri mdogo na wanaume tofauti tofauti. Wanaacha kwenda shule kwa sababu ya maisha ya klabu na kubadili wanaume. Loveness anaondoka aktika nyumba nzuri ya baba yake paipo kumuuga baab yake na kwenda kuishi maisha ya ghetto. Baba yake anamtafuta kila mahali pasipo mafanikio mwishowe anakata tamaa. Loveness anaendelea na maisha ya aina hyo lakini baadaye anakumbana na ugumu wa wa maisha, manyanyaso ya kingono na matatizo na marafiki zake.

Marejeo

Kigezo:Orodha ya marejeo

  1. http://www.bongocinema.com/movies/view/foolish-age