Foolish Age : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kurekebisha maneno
Mstari 4:
 
==Muundo==
Filamu hii inaelezea hadithi ya Loveness ([[Elizabeth Michael]]) msichana mdogo aliyelelewa na baba tajiri baada ya kifo cha mama yake kwa Ugonjwa wa [[UKIMWI]] miaka kadhaa iliyopita. Loveness na baba yake pia wanaishi na virusi vya [[UKIMWI]]. Loveness anasoma ughaibuni ila baadaye anamlazimisha baba yake aje kusoma Nchini mwake, [[Tanzania]]. Anapata shule mpya na kutengeneza marafiki, lakini rafiki wake wa dhati (Diana Kimaro) siyo msichana mwema. Wanajihusisha na mapenzi katika umri mdogo na wanaume tofauti tofauti. Wanaacha kwenda shule kwa sababu ya maisha ya klabu na kubadili wanaume. Loveness anaondoka aktikakatika nyumba nzuri ya baba yake paipopasipo kumuugakumuaga baabbaba yake na kwenda kuishi maisha ya ghetto. Baba yake anamtafuta kila mahali pasipo mafanikio mwishowe anakata tamaa. Loveness anaendelea na maisha ya aina hyohiyo lakini baadaye anakumbana na ugumu wa wa maisha, manyanyaso ya kingono na matatizo na marafiki zake.
 
==Marejeo==