Daniel Comboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
Ndiye aliyeanzisha shirika la Wamisionari wa [[Moyo Mtakatifu]] wa [[Yesu]] na shirika la [[Masista wa Afrika]], yaani ''[[Wamisionari Wakomboni]]'' na ''[[Masista Wakomboni]]''.
 
Alitangazwa kuwa [[mtakatifu]] na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[mtakatifu]] [[tarehe]] [[5 Oktoba]] [[2003]].
 
[[Sikukuu]] yake ni [[10 Oktoba]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
== Maisha ==
Daniele Comboni alikuwa moja kati ya [[ndugu]] wanane, lakini ndugu zake walifariki wote walipokuwa [[watoto]].
 
Daniele aliacha [[wazazi]] wake alipokuwa na miaka 12 na alienda [[Verona]] kusoma kwenye [[shule]] ya [[upadri|padri]] [[Nicola Mazza]] ambapo alichagua kuwa padri na kwenda [[Afrika]] kama [[mmisionari]].
 
Alifika [[Misri]] na wamisionari wengine watano ([[1857]]). Wote waliendelea hadi kufika [[Sudan]] kusini.
Mstari 24:
Mwaka [[1867]] alianza shirika la mapadre na ma[[bruda]].
 
Mwaka [[1877]] alipewa na [[Papa]] [[daraja takatifu]] ya [[askofu]] ili kujenga [[Kanisa]] katika [[Afrika ya Kati]] ([[Sudan]], [[Sudan Kusini]], [[Uganda]], [[Kenya]] ya leo).
 
Daniele Comboni aliaga [[dunia]] tarehe [[10 Oktoba]] [[1881]].
 
==Tazama pia==