Daniel Comboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Comboni.jpg|thumb|right|180px|Mtakatifu Daniele Comboni]]
 
'''Daniele Comboni''' ([[Limone sul Garda]], [[Italia]] [[15 Machi]] [[1831]] - [[Khartoum]], [[Sudan]], [[10 Oktoba]] [[1881]]), alikuwa [[mmisionari]] wa [[Kanisa Katoliki]] nchini Sudan.
 
Ndiye aliyeanzisha shirika la [[Wamisionari]] wa [[Moyo Mtakatifu]] wa [[Yesu]] na shirika la [[Masista wa Afrika]], yaaniwanaojulikana kama ''[[Wamisionari Wakomboni]]'' na ''[[Masista Wakomboni]]''.
 
Alitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[mtakatifu]] [[tarehe]] [[5 Oktoba]] [[2003]].