Mkamzee Mwatela : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Mkamzee Chao Mwatela''' (amezaliwa [[1982]]) ni [[mkurugenzi]], [[mwandishi]] na [[muigizaji]] wa [[Kenya]], maarufu kwa [[Jukumu|majukumu]] yake katika safu ya Runinga ya
Mkamzee alisoma shule ya msingi ya [[Nairobi]].Baadae alijiunga na shule maarufu ya wasichana ya Moi Nairobi kwa masomo yake ya sekondari na baadae kwenda Saint Mary's kwa mpango wa kimataifa wa Baccalaureate. Alibobea katika sanaa ya ukumbi wa michezo.
|