Serafino wa Montegranaro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sanserafinodamontegranaro.jpg|thumb|Mt. Serafino.]]
'''Serafino wa [[Montegranaro]]''' ([[1540]] – [[12 Oktoba]] [[1604]]), alikuwa [[bradha]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] [[Wakapuchini]] kutoka [[ItaliaItaliaya Kati]] ya kati.
 
[[Bradha]] asiye na vipawa vingi kiutu bali mwenye [[karama]] za ajabu, anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]] tangu alipotangazwa na [[Papa Klementi XIII]] [[tarehe]] [[16 Julai]] [[1767]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Oktoba<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
Mstari 12:
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-Mkristo}}