Kifo Cheusi Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
dNo edit summary |
dNo edit summary |
||
Mstari 1:
'''Kifo Cheusi,''' ilikuwa ni [[ugonjwa]] wa Tauni aina ya [[pandemia]] [[bubonic plague]], ambao uliwahi kuingia nchini [[Uingereza]] mnamo mwezi Juni 1348. Ilikuwa ni miongoni mwa dalili za awali za [[pandemia]] ya pili, iliyosababishwa na [[bacteria|bakteria]] wa ''Yersinia pestis''. Istilahi ya ''Kifo Cheusi'' haikutumika mbaka mwishoni mwa karne ya 17.
[[Asili]] au [[Chanzo]] cha ugonjwa huu ni [[Bara|Barani]] [[Asia]],{{cn|date=May 2020}}
|