Kifo Cheusi Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: Reverted
No edit summary
Tag: Reverted
Mstari 1:
[[:Picha:Part of a series on the
History of England
NEW MAP OF THE KINGDOME of ENGLAND, Representing the Princedome of WALES, and other PROVINCES, CITIES, MARKET TOWNS, with the ROADS from TOWN to TOWN (1685)]]
'''Kifo Cheusi,''' ilikuwa ni [[ugonjwa]] wa [[Tauni]] aina ya [[pandemia]] [[bubonic plague]], ambao uliwahi kuingia nchini [[Uingereza]] mnamo mwezi Juni 1348. Ilikuwa ni miongoni mwa dalili za awali za [[pandemia]] ya pili, iliyosababishwa na [[bacteria|bakteria]] wa ''Yersinia pestis''. Istilahi ya ''Kifo Cheusi'' haikutumika mbaka mwishoni mwa karne ya 17.
 
[[Asili]] au [[Chanzo]] cha ugonjwa huu ni [[Bara|Barani]] [[Asia]],{{cn|date=May 2020}} Ulienea upande wa [[magharibi]] kipindi cha misafara ya [[biashara]] zilizo zunguka [[Ulaya]] na uliwasili katika [[Taifa]] la [[Uingereza Kusini-Magharibi|Uingeleza]] ndani ya Isles kutoka kwenye jimbo la [[England|Englandi]] la [[Gascony]]. Ugonjwa huo wa [[Tauni]] ulienezwa kwa kuambukizwa kupitia panya(flea-infected rats), vivyo hivyo pamoja na watu walio athirika na ugonjwa huo, [[Panya]] walikuwa ni reservoir hosts wa [[Bakteria]] aina ya ''Yersinia pestis'' na [[Oriental rat flea]] walikuwa ni vekta wa awali.
 
{{Jamii ya Uingereza}}