Kifo Cheusi Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tag: Reverted |
No edit summary Tag: Manual revert |
||
Mstari 1:
'''Kifo Cheusi,''' ilikuwa ni [[ugonjwa]] wa [[Tauni]] aina ya [[pandemia]] [[bubonic plague]], ambao uliwahi kuingia nchini [[Uingereza]] mnamo mwezi Juni 1348. Ilikuwa ni miongoni mwa dalili za awali za [[pandemia]] ya pili, iliyosababishwa na [[bacteria|bakteria]] wa ''Yersinia pestis''. Istilahi ya ''Kifo Cheusi'' haikutumika mbaka mwishoni mwa karne ya 17.
|