Tofauti kati ya marekesbisho "Dirisha"

60 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
 
[[File:Gordijnen aan venster.JPG|thumb|[[Dirisha la hewa]] chumbani.]]
'''Dirisha''' (kutoka [[neno]] la [[Kiajemi]]; kwa [[Kiingereza]]: ''window'') ni nafasi wazi katika [[ukuta]] au [[paa]] la [[jengo]], katika [[gari]] n.k. Lengo lake ni kuruhusu [[hewa]] na [[mwanga]] viingie, pia [[watu]] waweze kuona nje kwa njia yake.
 
Kunaweza kuwa na [[umbo|maumbo]] na ukubwa tofauti, ikiwa ni pamoja na [[mstatili]], [[mraba]], [[mviringo]], au maumbo ya kawaida.
==Tazama pia==
* [[Dirisha la amri]]
* [[Dirisha (tarakilishi)]]
{{mbegu-utamaduni}}