Propaganda : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Removing Teheran_US_embassy_propaganda_statue_of_liberty.jpg, it has been deleted from Commons by Jcb because: per [[:c:Commons:Deletion requests/Files in Category:Anti-Americ |
Removing Guerre_14-18-Humour-L'ingordo,_trop_dur-1915.JPG, it has been deleted from Commons by Pi.1415926535 because: per [[:c:Commons:Deletion requests/Images of Eugen |
||
Mstari 1:
'''Propaganda''' ([[lat.]] ''propagare'' kueneza) ni jitihada ya kuathiri mawazo na maoni katika jamii kwenda mwelekeo unaotakiwa na wenye propaganda. Inafanana na njia zinazotumiwa kwa matangazo ya kiuchumi yanayolenga kuuza bidhaa fulani au kusambaza mafundisho ya kidini lakini eneo la propaganda ni kisiasa. Kwa hiyo mara nyingi sehemu muhimu ya propaganda ni kuchora picha baya ya wapinzani au maadui.
|