Susan Basemera : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Susan Basemera''' ni muimbaji na muigizaji wa Kiganda. ==Wasifu== Kutokea Uganda, Basemera alianza kuimba kwenye kwaya za shule akiwa na miaka nane. Akifaha...'
 
No edit summary
Mstari 4:
Kutokea Uganda, Basemera alianza kuimba kwenye kwaya za shule akiwa na miaka nane. Akifahamika kama Lady C nchini mwake, alipata mafanikio makubwa mwaka 1995, alipojiunga na bendi ya waka waka na kuachia nyimbo iliyojulikana "Yimilila awo".<ref>{{cite web |title=Zani Bio |url=https://www.musicinafrica.net/directory/zani |website=Music in Africa |accessdate=14 October 2020}}</ref> alikuwa maarufu kwa wimbo "Ndoowa", uliokuwa wimbo bora mwaka 1997 na bado ni maarufu mpaka sasa. Mwaka 2012, Basemera alihamia Marekani kuendeleza Sanaa yake .<ref name=monitor>{{cite news |title=Ugandan actress makes it to Apple TV and Universal film |url=https://www.monitor.co.ug/uganda/magazines/full-woman/ugandan-actress-makes-it-to-apple-tv-and-universal-film-1875858 |accessdate=14 October 2020 |work=Daily Monitor |date=17 February 2020}}</ref> Japo akijikita Zaidi katika uigizaji, aliachia nyimbo "Goolo Goolo" mnamo 2015.<ref>{{cite news |last1=Ogwal |first1=Lawrence |title=I am focusing on my acting career at the moment -- Singer Zani Lady C |url=https://www.sqoop.co.ug/201910/four-one-one/i-am-focusing-on-my-acting-career-at-the-moment-singer-zani-lady-c.html |accessdate=14 October 2020 |work=Sqoop |date=25 October 2019}}</ref>
 
2016, Basemera alitokea kwenye filamu fupi ''Gubagudeko'' akiwa na Mahershala Ali. Ameigiza kama muigizaji mkuu kwenye ''Can You Keep a Secret''. Mwaka 2020, Basemera ameigiza kama Yuliana kwenye tamthiliya ya Apple TV+ ''[[Little America |Little America]]'', ikihusiana na hadithi za wahamiaji kwenda Marekani. Alipata nafasi hiyo baada ya muongozaji kutuma kipeperushi naye akatuma barua pepe kwenye anuani iliyokuwepo katika kipeperushi kile, na kuwafurahisha waandaaji katika onyesho la kuonyesha uwezo..<ref name=monitor/> kwenye onyesho moja , akionyesha utamaduni wake kwa kuvaa a gomesi.<ref>{{cite news |title=Ugandan actress lands role in Hollywood movie titled Little America |url=https://kampalasun.co.ug/2020/02/17/ugandan-actress-lands-role-in-hollywood-movie-titled-little-america/ |accessdate=14 October 2020 |work=[[Kampala Sun]] |date=17 February 2020}}</ref>
 
Kulingana na Basemera, Tasnia ya filamu ya Uganda ipo nyuma ya tasnia ya filamu ya Marekani kwa uzalishaji, vifaa, waigizaji na usmbazaji. "Tasnia ikiwezeshwa na watu wazoefu inaweza kufanikiwa zaidi," alisema Basemera .<ref>{{cite news |last1=Ssempijja |first1=Reagan |title=Ugandan actress lands Hollywood role |url=https://www.newvision.co.ug/news/1515153/ugandan-actress-lands-hollywood-role |accessdate=14 October 2020 |work=The New Vision |date=18 February 2020}}</ref>