Monica Birwinyo : Tofauti kati ya masahihisho

mwigizaji wa Uganda, alizaliwa june 4 1990
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Monica Jacobs Birwinyo'' (alizaliwa tarehe 4 Juni 1990)ni mwigizaji wa Uganda.Mwanzoni Monica alipoanza kazi ya uigizaji hakua anajulikana lakin...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:14, 17 Oktoba 2020

'Monica Jacobs Birwinyo (alizaliwa tarehe 4 Juni 1990)ni mwigizaji wa Uganda.Mwanzoni Monica alipoanza kazi ya uigizaji hakua anajulikana lakini baadae alipata umaarufu kupitia kazi hii. Baadhi ya filamu alizocheza niImbabazi, The Pardon na Irene Kulabako's Beauty to Ashes[1][2] na NBS na kuwa muugizaji maarufu wa mfulizo wa filamu Because of U.[3] 5@home, the Honorablez, Mela na Zansanze.

Kazi

Mnamo mwezi wa tatu mwaka 2012, Monica Birwinyo, Irene Asumpta na Jacob Nsaali walikubalika kama washiriki wa kipindi cha kwanza kinachoitwa Movie Digest Show.[4] kwa sasa hivi anashiriki kipindi cha pili na Usama Mukwaya.[5] Monica ameshawahi kushirikishwa kwenye Joel Karekezi's Imbabazi, The Pardon, kama Muhoza.[6]

Marejeo

  1. http://observer.ug/index.php?option=com_content&view=article&id=22407:beauty-to-ashes-lives-up-to-its-hype
  2. "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-07. Iliwekwa mnamo 2013-04-20.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  3. http://observer.ug/index.php?option=com_content&view=article&id=22359:-birwinyo-the-lucky-screen-girl
  4. http://www.observer.ug/index.php/index.php?option=com_content&view=article&id=17517:star-trail-meddie-sentongo-now-on-bike-&catid=65:star-trail&Itemid=94
  5. "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-07. Iliwekwa mnamo 2013-04-20.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  6. "Imbabazi (2013)", IMDb.