Pembe ya Afrika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni moved page Pembe la Afrika to Pembe ya Afrika over redirect: usahihi wa jina
No edit summary
Mstari 1:
[[File:horn of africa.jpg|thumb|Pembe laya Afrika likitazamwaikitazamwa kutoka [[Space Shuttle]] ya [[NASA]] mnamo [[Mei]] [[1993]]. Ni wazi kuwa sehemu kubwa ni [[nusu]] [[jangwa]].]]
[[File:Nasa Horn of Africa.JPG|thumb|Picha nyingine ya [[NASA]].]]
[[File:Africa-countries-horn.png|thumb|200px|[[Mataifa]] ya pembe laya Afrika]]
'''Pembe laya Afrika''' ni [[jina]] la sehemu ya [[mashariki]] kabisa ya [[bara]] la [[Afrika]] yenye [[umbo]] la [[pembetatu]]; ni kama [[rasi]] iliyoko kati ya [[Ghuba ya Aden]] na [[Bahari Hindi]] yenyewe.
 
Eneo hili linajumuisha nchi za leo za [[Somalia]] na [[Jibuti]] pamoja na sehemu ya mashariki ya [[Ethiopia]]; wakati mwingine Ethiopia yote pamoja na [[Eritrea]] huhesabiwa humo. Kwa kutumia wazo la pembe laya Afrika kubwa kuna eneo la [[km²]] 1,882,757 linalokaliwa na wakazi milioni 122.6, hasa wa Ethiopia.
 
Nchani mwa pembe iko [[Puntland]] iliyotangaza [[uhuru]] wake lakini inahesabiwa na mataifa mengi kama sehemu ya Somalia, jirani yake ni [[Somaliland]] ambayo ni pia sehemu ya Somalia iliyotangaza uhuru wake.
Mstari 11:
[[Category:rasi]]
[[Category:Afrika ya Mashariki]]
[[Jamii:Pembe laya Afrika]]