Sekunde ya tao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
*'''mikrosekunde ya tao''' au '''µas''' ni sehemu ya milioni moja ya sekunde ya tao.
 
Kipimo cha kawaida cha umbali katika astronomia (pamoja na [[kizio astronomia]] na [[mwakanuru]]) ni [[parsek]] inayofafanuliwa kuwa umbali kati ya Jua na gimba la angani linaoonekana kwa pembe laya [[paralaksi]] la sekunde moja ya tao (1 arcsecond).
==Mifano==
Mstari 15:
*sekunde za tao 20 zinalingana na pembe jinsi tunavyoona kiolwa chenye upana wa sentimita moja kwa umbali wa mita 100.
*milisekunde ya tao 1 inalingana takriban na pembe jinsi tunavyoona umbali wa mita 1.9 kwenye uso wa Mwezi.
 
 
 
[[jamii:jiometria]]