Kamusi Kuu ya Kiswahili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 2A03:2880:30FF:74:0:0:FACE:B00C (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 1:
'''Kamusi Kuu ya Kiswahili''' (KKK) ni [[kamusi]] ya [[lugha]] ya [[Kiswahili]] iliyotolewa na [[BAKITA|Baraza la Kiswahili la Taifa]] la [[Tanzania]] [[mwaka]] [[2015]] baada ya maandalizi ya miaka [[Nne|minne]]<ref>[https://www.bbc.com/swahili/habari-40336269 Kamusi Kuu ya Kiswahili yazinduliwa Tanzania], tovuti ya BBC ya 19 Juni 2017, iliangaliwa Oktoba 2020</ref>.
 
Toleo hilo limechapishwa na kusambazwa na Longhorn. Mwaka 2017 ilipatikana pia kama app ya android kwa ajili ya mitambo ya smartphone<ref>[https://www.tuko.co.ke/219590-see-secret-apps-kenyan-children-downloading-kcpe-kcse.html See secret apps Kenyan children are downloading before KCPE & KCSE], tovuti ya tuko.co.ke ya 19 Juni 2017, iliangaliwa Oktoba 2020 </ref>.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{mbegu-lugha}}