Kifo Cheusi Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 7:
Kisa cha [[kwanza]] kugundulika [[Uingereza]] kilikuwa cha [[Baharia]] aliye wasili katika [[mji]] wa [[Weymouth, Massachusetts|Weymouth]], [[Dorsten|Dorset]], kutoka Gascony mnamo mwezi juni 1348. Wakati wa [[kiangazi]], Ugonjwa wa [[Tauni]] ulifika [[London]], na wakati wa [[kipupwe]] pia ulisambaa katika lango la kuingilia Uingereza mnamo mwaka 1349, kabla hauja punguza kasi ilipofika mwezi Disemba, makadilio ya kiwango cha chini cha idadi ya vifo mwanzoni mwa karne ya 20 viliongezeka zaidi kutokana na kurudiwa kwa ukusanyaji mpya wa [[taarifa]], kwa kiasi cha asilimia 40–60 ya [[idadi]] kubwa ya [[watu]] ilikubalika.
 
matokeo ya [[Asali|awali]] yalikuwa ya kipelekea [[Kampeni za Kivita katika Afrika ya Mashariki (Vita ya Kwanza ya Dunia)|kampeni]] ya [[Mapambano (Tabora)|mapambano]] kwa [[Mwaka|miaka]] [[mia]] moja. Kwa kipindi kirefu idadi ya watu ilipungua na kusababisha uhaba wa wafanyakazi, pamoja na kufuatiwa kwa kuibuka kwa malipo ya posho, ilipingwa na wamiliki wa [[Ardhi|aridhi]], ambayo ilisababisha chuki ya hali ya juu miongoni mwa tabaka la chini. Mapinduzi ya wakulima wadogo wadogo ya mwaka 1381 kwa ujumla yalipelekea chuki kubwa , na hata hivyo uasi ulitokomezwa kwa kipindi kirefu cha utawala wa Kikabaila na ulikwisha kabisa nchini Uingereza. Kifo Cheusi pia kiliathiri juhudi za Sanaa na [[Utamaduni]], na ilisaidia kuongeza matumizi ya lugha za asili.
 
Mnamo mwaka 1361–1362 Ugonjwa wa [[Tauni]] ulirejea nchini Uingereza, kwa kipindi hicho ulisababisha vifo kufikia asilimia 20 ya idadi ya watu. Baada ya hapo Ugomjwa wa Tauni uliendelea kurejea kwa vipindi vipindi mpaka karne ya 14 na 15, kwa matokeo ya vijiji mpaka taifa zima kwa ujumla. Kufuatiwa na athari zake kwa uchache pamoja na mojawapo ya matokeo ya mwisho ya Ugonjwa wa Tauni nchini Uingereza ilikuwa ni ugonjwa wa Tauni wa mwaka 1665–1666 Jijini [[london]].
 
{{mbegu-historia}}