Kifo Cheusi Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:DeathWatTylerFull.jpg|thumb|right|Kifo Cheusi Uingereza]]
'''Kifo Cheusi''' ilikuwa [[jina]] la [[pandemia]] ya [[ugonjwa]] wa [[tauni]] (kwa [[Kiingereza]]: ''bubonic plague'') ambao uliwahi kuingia nchini [[Uingereza]] mnamo mwezi [[Juni]] [[1348]]. Ilikuwa miongoni mwa [[dalili]] za awali za [[pandemia]] ya pili, iliyosababishwa na [[bakteria]] wa ''Yersinia pestis''. [[Istilahi]] ''Kifo Cheusi'' haikutumika mpaka mwishoni mwa [[karne ya 17]].