Joseph Kabila : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d I have made the opening description to be in the past tense from "...ni rais" to "...alikua rais" I have also linked Laurent-Désiré Kabila's page to his name on this page
Mstari 1:
[[Picha:Joseph kabila.jpg|thumb|250px|Joseph Kabila]]
'''Joseph Kabila Kabange''' (* [[4 Juni]] [[1971]]) nialikua [[Orodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|rais]] wa [[nne]] wa [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]].
 
Aliingia [[urais]] baada ya [[kifo]] cha [[baba]] yake Rais [[Laurent Kabila|Laurent-Desiree Kabila]] aliyeuawa na [[wanajeshi]] [[tarehe]] [[16 Januari]] [[2001]]. [[Wanasiasa]] wengine walimteua [[mwana]] kuwa rais badala ya baba.
 
Katika [[uchaguzi]] wa kitaifa wa tarehe [[30 Julai]] [[2006]] alipata [[kura]] nyingi kuliko wagombea wote kuwa rais lakini hakufikia [[nusu]] ya kura zote. Katika uchaguzi wa pili kati yake na [[Jean-Pierre Bemba]] alishinda akathibitishwa kuwa rais tarehe [[17 Novemba]] [[2006]]. Joseph Kabila ni rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyechaguliwa na wananchi wote katika uchaguzi huru.