Injini ya mwako ndani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kupoza kwa hewa
Mstari 24:
Vilevile ni muhimu ya kwamba vipande vyote vinaingiana vema na visiwe na nafasi kubwa ya kucheza. Hapo ni muhimu ya kwmaba vipimo vya vipuri vyote vinafaa na kulingana hadi sehemu ya 100 ya milimita.
 
===Mfumo wa kupoza===
Vilevile ni muhimu ya kwamba joto la injini linapunguzwa. Maana ndani ya injini moto inawaka muda wote na kuathiri metali ya injini yenyewe. Hapo injini uwa na mfumo wa kupoza injini na mara nyingi kazi hii inatekelezwa kwa kuzungusha maji katika injini inayopita sehemu penye joto kubwa; maji hupokea sehemu ya joto na kuibeba nje ya injini yenyewe hadi sehemu ya [[rejeta]] yanapopozwa kwa kukutana na hewa kutoka nje ya gari. Injini ndogo, siku hizi hasa za pikipiki, hutumia [[kupoza kwa hewa]]; uso wa injini huongezwa kwa mapezi ya kupoza ambako hewa inapita moja kwa moja ikitawanya joto.
Vilevile ni muhimu ya kwamba joto la injini linapunguzwa. Maana ndani ya injini moto unawaka muda wote na kuathiri metali ya injini yenyewe. Hapo injini inahitaji na mfumo wa kupoza.
 
Vilevile ni muhimu ya kwamba joto la injini linapunguzwa. Maana ndani ya injini moto inawaka muda wote na kuathiri metali ya injini yenyewe. Hapo injini uwa na mfumo wa kupoza injini na maraMara nyingi kazi hii inatekelezwa kwa kuzungusha maji katika injini inayopita sehemu penye joto kubwa; maji hupokea sehemu ya joto na kuibeba nje ya injini yenyewe hadi sehemu ya [[rejeta]] yanapopozwa kwa kukutana na hewa kutoka nje ya gari. Injini ndogo, siku hizi hasa za pikipiki, hutumia [[kupoza kwa hewa]]; uso wa injini huongezwa kwa mapezi ya kupoza ambako hewa inapita moja kwa moja ikitawanya joto.
 
Injini ndogo, siku hizi hasa za pikipiki, hutumia [[kupoza kwa hewa]]; uso wa injini huongezwa kwa mapezi ya kupoza ambako hewa inapita moja kwa moja ikitawanya joto.