Tofauti kati ya marekesbisho "Linux"

6 bytes removed ,  mwaka 1 uliopita
d
Masahihisho aliyefanya 41.75.221.186 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
No edit summary
Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit
d (Masahihisho aliyefanya 41.75.221.186 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
Tag: Rollback
 
'''Linux''' (au '''GNU/Linux''') ni mfumo wa uendeshaji wa [[Unix]] kwa [[kompyuta]].
 
Mfumo wa uendeshaji ni mkusanyiko wa maelekezo ya msingi ambayo hudhibiti sehemu za [[umeme]] za [[kompyuta]] zinazoiruhusu amjmipangomipango ya [[programu]] inayoendesha.
 
Linux ni [[programu]] ya bure. Programu ya bure ina maana kwamba kila mtu ana uhuru wa kuitumia, bdakuangaliakuangalia jinsi inavyofanya kazi, kuibadili au kuisambaza.
 
Kuna programu nyingi kwa ajili ya Linux na kwa sababu Linux yenyewe ni ya bure, pia programu nyingi za Linux ni programu za bure. Hii ni sababu mojawapo ambayo watu wengi wanapenda kutumia Linux.