Milima ya Skandinavia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Scandinavian Mountains hadi Milima ya Skandinavia
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Scandinavia-mountains.png|thumb|Mahali pa milima ya Skandinavia kwenye ramani]]
'''Milima ya Skandinavia''' ni''(Scandinavian safuMountains)'' ya ni [[Safusafu ya milima|milima]] ambayo hupitia nchi kwenye [[Rasi ya Skandinavia]] . Pande za magharibi za [[mlima|milima]] hiyo huteremka vikali kwenye [[Bahari ya Kaskazini|Bahari]] ya [[Bahari ya Kaskazini|Kaskazini]] na [[Bahari ya Norwei]], ambapo huunda fjord[[fyord]] za [[Norwei]] . Upande wa kaskazini inaunda mpaka kati ya Norwei na [[Uswidi]], ikiendelea katika [[Mzingo aktiki]]. Sehemu ndogo ya masafa huingia [[Ufini]], ambako si marefu tena.
 
Mlima wa juu zaidi katika safu hiyo ni Galdhøpiggen kusini mwa Norway ikiwa na mita 2469 juu ya uswa wa bahari. Mlima mkubwa upande wa Uswisi ni Kebnekaise ukiwa na mita 2104 juu ya UB. Halti ni kilele cha juu zaidi nchini Ufini kwa mita 1324.