Milima ya Skandinavia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Scandinavia-mountains.png|thumb|Mahali pa milima ya Skandinavia kwenye ramani]]
'''Milima ya Skandinavia''' ''(kwa [[Kiingereza]]: Scandinavian Mountains)'' ni [[safu ya milima]] ambayo hupitia nchi kwenye [[Rasi ya Skandinavia]] . Pande za magharibi za [[mlima|milima]] hiyo huteremka vikali kwenye [[Bahari ya Kaskazini|Bahari]] ya [[Bahari ya Kaskazini|Kaskazini]] na [[Bahari ya Norwei]], ambapo huunda [[fyord]] za [[Norwei]] . Upande wa kaskazini inaunda mpaka kati ya Norwei na [[Uswidi]], ikiendelea katika [[Mzingo aktiki]]. Sehemu ndogo ya masafa huingia [[Ufini]], ambako si marefu tena.
 
Pande za [[magharibi]] za [[mlima|milima]] hiyo huteremka vikali kwenye [[Bahari ya Kaskazini|Bahari]] ya [[Bahari ya Kaskazini|Kaskazini]] na [[Bahari ya Norwei]], ambapo huunda [[fyord]] za [[Norwei]].
Mlima wa juu zaidi katika safu hiyo ni Galdhøpiggen kusini mwa Norway ikiwa na mita 2469 juu ya uswa wa bahari. Mlima mkubwa upande wa Uswisi ni Kebnekaise ukiwa na mita 2104 juu ya UB. Halti ni kilele cha juu zaidi nchini Ufini kwa mita 1324.
 
Upande wa [[kaskazini]] inaunda mpaka kati ya Norwei na [[Uswidi]], ikiendelea katika [[Mzingo aktiki]]. Sehemu ndogo ya masafa huingia [[Ufini]], ambako si marefu tena.
Mahali pa safu hiyo karibu na [[Bahari ya Aktiki]] na [[Atlantiki|Atlantiki ya Kaskazini]] umesababisha kuwepo kwa viwanja vingi vya barafu na [[barafuto]] .
 
[[Mlima]] wa juu zaidi katika safu hiyo ni [[Galdhøpiggen]] ulioko [[kusini]] mwa Norway ikiwaukiwa na [[mita]] 2469 juu ya uswa[[usawa wa bahari]]. Mlima mkubwa upande wa Uswisi ni [[Kebnekaise]] ukiwa na mita 2104 juu ya UB. [[Halti]] ni kilele cha juu zaidi nchini Ufini kwa mita 1324.
 
Mahali pa safu hiyo karibu na [[Bahari ya Aktiki]] na [[Atlantiki|Atlantiki ya Kaskazini]] umesababishapamesababisha kuwepo kwa viwanja vingi vya [[barafu]] na [[barafuto]] .
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
[[Jamii:JiografiaMilima ya Uswidi]]
[[Jamii:JiografiaMilima ya Ufini]]
[[Jamii:Milima ya Norwei]]
[[Jamii:Milima ya Ulaya]]
[[Jamii:Skandinavia]]