Athens : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Athens Acropolis.jpg|thumb|300px|Majengo ya [[Akropoli]] juu ya kilima iliyokuwa [[boma]] na [[mtaa]] wa ma[[hekalu]] ya Athens ya Kale. Huko [[Mtume Paulo]] alitoa [[hotuba]] maarufu ([[Mdo]] 17).]]
'''Athens''' (pia: '''Athene''', '''Athini''', kwa [[Kigiriki]] Αθήνα "Athina") ni [[mji mkuu]] wa [[Ugiriki]] (Uyunani), [[mji]] mkubwa wa nchi hiihiyo, na mojawapo kati ya [[miji]] mashuhuri ya [[dunia]] yenye [[historia]] ndefu tanguya miaka elfuelfuelfu kadhaa.
 
Siku hizi mji una wakazi [[milioni]] 3.
 
==Jina==
[[Jina]] limetokana na [[miungu|mungu]] wa kike "[[Athena]]" aliyeabudiwa kama mungu wa [[elimu]] na wa [[vita]] zamani za [[Ugiriki wa Kale]].
 
== Historia ==
Katika [[karne]] [[kabla ya Kristo]] Athens ulikuwa mji muhimu uliotawala sehemu kubwa ya Ugiriki pamoja na miji mingi hadi [[Italia]] na [[Uturuki]] ya leo.
 
Athens ilikuwa maarufu kwa [[wataalamu]] wake, hasa [[wanafalsafa]] kama [[Sokrates]], [[Plato]] na [[Aristoteles]].
 
[[Siasa|Kisiasa]] inaitwa [[asili]] ya [[demokrasia]].
 
Baadaye ilikuwa chini ya [[utawala]] wa [[Dola la Roma]] na baadatangu ya[[mwaka]] [[1453]] chini ya [[Dola la Uturuki]]. Hapo mji ukawa bilahauna umuhimu wowote, tenahivi kwamba wakati wa [[uhuru]] wa Ugiriki mwaka [[1834]] ulikuwa na wakazi wapatao 1000 ukakondatu.
 
Tangu hapo umekuwa mji mkuu wa Ugiriki ikakuaukakua tena.
Wakati wa [[uhuru]] wa Ugiriki mwaka [[1834]] Athens ilikuwa na wakazi wapatao 1000 tu.
 
Tangu hapo umekuwa mji mkuu wa Ugiriki ikakua tena.
 
Michezo ya kwanza ya [[Michezo ya Olimpiki ya Kisasa|Olimpiki ya kisasa]] ilifanyika Athens mwaka [[1896]]. Michezo ilirudi tena kufanyika huko mwaka [[2004]].