Kakao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:cacao-pod-k4636-14.jpg|thumb|Mbegu za kakao ndani ya mkowa]]
'''Kakao''' ''(pia: '''kakau'''<ref>Kakau ni tahajia inayopendezwa zaidi na [[KKS|kamusi ya KKS]]</ref>; kwa [[Kiingereza]]: cocoa)'' ni [[zao]] la [[mkakao]] linalotolewa kutoka [[mbegu]] katika [[tunda]] linaloitwa [[mkokwa]].
 
Jina hilo hutumiwa kwa ajili ya mbegu za mkakao, unga unaotengenezwa kutoka mbegu hizo na pia kinywaji kinachotengenezwa kwa unga wa mbegu pamoja na maji, maziwa na sukari.
Mbegu ya kakao huwa na [[mafuta]] mengi yanayotumiwa kutengeneza [[vinywaji]] na [[chokoleti]].
 
Matumizi ya kakao yalianza pale [[Amerika ya Kati]], hasa [[Meksiko]] ambako walipenda kinywaji lakini walitumia pia mbegu kama [[pesa]]<ref>[http://www.natureasia.com/en/research/highlight/12749 Pushing back the origin of chocolate], tovuti ya .natureasia.com, iliangaliwa Oktoba 2020 </ref>.
 
Mbegu ya kakao huvunjwa, hukaangwa na kusagwa; kuna mafuta mengi ndani ya mbegu, na kwa matumizi ya kinywaji ni lazima kutenganisha mafuta na unga kavu; hivyo sehemu kubwa ya mafuta ya kakao hutolewa; kwa [[chokoleti]] yanahitajika tena<ref>[https://ia800300.us.archive.org/9/items/manufactureofcho00zipp/manufactureofcho00zipp.pdf Zipperer, Paul (1902). The manufacture of chocolate and other cacao preparations (3rd ed.). Berlin: Verlag von M. Krayn], inapatikana archive.org</ref>.
 
Mkakao hulimwa sana nchini [[Ghana]], lakini pia [[Tanzania]] maeneo kama vile [[Kyela]].
 
 
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{mbegu-utamaduni}}