Denizli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
new pic
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:TR Denizli asv2020-02 img12 Town hall.jpg|thumb|right|350px|ChechemUkumbi iliopo usoni mwa jengo lawa manispaa ya mji wa Denizli.]]
'''Denizli''' ni [[mji]] uliopo mwishoni mwa [[mashariki]] ya [[mto]] [[Büyük Menderes]], ambapo kuna mapolomoko[[Maporomoko yenyeya maji|maporomoko]] ya [[mita]] zaidi ya mia, katika kusini-magharibi mwa nchi ya [[Uturuki]], kwenye [[:en:Aegean Region, Turkey|Mkoa wa Aegean]].
 
Mji una wakazi wapatao lakhi 400,000 (kwa sensa ya 2006) na ndiyo [[mji mkuu]] wa [[Jimbo la Denizli]] katika [[Majimbo ya Uturuki]]. Huu ni mji unaokua sana katika sekta ya viwanda.
 
Mji wa Denizli umepata mafanikio makubwa sana kiuchumi hasa kwa shughuli zake za utengenezaji wa nguo na kuzusafirisha nchi za nje<ref>{{cite book | title = Regional Economic Growth, SMEs and the Wider Europe ISBN 0-7546-3613-5, Chapter 11: The changing role of SMEs in the regional growth process: The case of Denizli|author= Bernard Fingleton, Ayda Eraydın, Raffaele Paci, Bilge Armatlı Köroğlu, Burak Beyhan p. 229|publisher=[[Ashgate Publishing]]|year= 2003}}</ref>.
 
Mji huu umekuwa kituo kikubwa cha uzalishaji wa bidhaa zinazotazamiwa kupelekwa nchi za nje, Denizli hutajwa mara kwa mara, ukiwa sambamba na miji mingine ya Uturuki, ikiwa kama miji yenye kupiga hatu kubwa sana kimaendeleo<ref>{{cite web | url = http://wz.uni.lodz.pl/ersa/abstr/ozgur_p.pdf 18th European Advanced Studies Institute in Regional Science| title = Integration of a Local Economy to the Global and European Markets through Export–Led Growth and Specialized Textile Products Export: Home Textile Production in Denizli – Turkey|author=Hüseyin Özgür, [[Pamukkale University]]|publisher=[[University of Lodz]]| accessdate=2007-04-18}}</ref>.
 
== Jina ==
Jina la Denizli linamaana ya "maeneo yenye bahari au ziwa" kwa [[Kituruki]], lakini mji wenyewe haupo katika pwani. Jina linatokana na tahajia kadha wa kadha ambazo zina vyanzo vya maji yanayopita chini kwa chini na kuelekea katika eneo la mkoa wa karibu ya ziwa lililopo karibu na mji huko Uturuki.<ref>An alternative theory holds that the name was ''Domuzlu'' (the place of boars) due to the boar in the mountains around the town, and was changed as Muslims found the name offensive.</ref>
Line 14 ⟶ 15:
* [[Ahmet Nazif Zorlu]] - Mfanyabiashara
* [[Sezen Aksu]] - Mwimbaji wa Pop
* [[Bayram Şit]] - Mwanamieleka aliyepokea nishani ya OlympicOlimpiki
* [[Cem Bahtiyar]] - Mpiga basi-gitaa wa kundi la muziki wa rock la [[maNga]]. (amezliwaamezaliwa mjini Denizli mnamo 1979)
* [[Hasan Güngör]] - Mwanamieleka aliyepokea nishani ya Olympic
* [[Nezih Altın]] - Mwnafizikia mashuhuri. Kwa sasa anaishi mjini [[Adıyaman]].
* [[Özay Gönlüm]] - Mwimbaji nyimbo za asili (1940-2000)
* [[Rıza Esendemir]] DJ bora wa redio FM ya Istanbul
* [[Sarp]] - Mwimbaji rock
 
== Viungo vinavyohusianaMarejeo ==
{{reflist}}
 
== Viungo vya Nje nje==
* [http://www.denizli.gov.tr Denizli Government Web Site]
* [http://www.denizlirehber.org?lang=2 Denizli Telephone Address, Business Guide]
 
== Marejeo ==
{{reflist}}
== Viungo vya Nje ==
{{Miji ya Uturuki}}
 
{{mbegu-jio-Uturuki}}
 
[[Jamii:Miji ya Uturuki]]
[[Jamii:Denizli]]
[[Jamii:Uturuki]]