Roderiko Aguilar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Roderiko Aguilar''' (kwa Kihispania '''Rodrigo Aguilar Alemán''', 13 Mei 1875 - Ejutla, Jalisco, Mexico, 28 Oktoba 1927) ali...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Roderiko Aguilar''' (kwa [[Kihispania]] '''Rodrigo Aguilar Alemán''', [[Sayula]], [[13 Mei]] [[1875]] - [[Ejutla]], [[Jalisco]], [[Mexico]], [[28 Oktoba]] [[1927]]) alikuwa [[padri]] wa [[Kanisa Katoliki]] nchini [[Meksiko]] hadi [[kifodini|alipouawa]] bila [[kesi]] wakati wa [[Vita vya Wakristero]].
 
[[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza [[mwenye heri]] tarehe [[22 Novemba]] [[1992]] halafu [[mtakatifu]] [[mfiadini]] tarehe [[21 Mei]] [[2000]] pamoja na wenzake 24 waliofia [[dini]] katika [[vita]] hivyo<ref>[http://home.catholicweb.com/SanCristobal/index.cfm/about List of San Cristobal and companions, St. Cristobal Magallanes and Companions Church, Mission, Texas]</ref>: