Reli ya SGR Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Reli ya umeme
Mstari 28:
Reli hii itatumia nguvu ya umeme kama chanzo cha nishati kwa injini za treni.
 
Awamu la kwanza Dar es Salaam - Morogoro litategemea kituo cha umeme cha Kinyereza kinachochoma gesi kwa kuzalisha umeme; umeme utapitishwa kwa waya inayobeba [[Volti|kV]] 220 kutoka Kinyereza hadi kituo cha Kingolwira karibu na Morogoro.
 
Kwa awamu la pili kuna vituo viwili vya umeme vya Tanesco pale Kingolwira na Dodoma vitakavyohudumia mahitaji ya reli. Kituo cha tatu cha kV 220 kitatengenezwa kati ya vituo vilivyopo. Mfumo wote utamilikiwa na Tanesco kwa ajili ya mahitaji ya reli.<ref>[https://yapimerkezi.com.tr/PdfDosyalari/61712ba8-b07f-4e73-ba4e-ca502798b05c.pdf Non-Technical Summary], Environmental and Social Impact Assessment (ESIA) for the Standard Gauge Railway Line (SGR) Project, Dar es Salaam –Makutopora, Tanzania. 30 August 2019</ref>