Reli ya SGR Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 5:
 
===Sehemu ya Dar es Salaam-Morogoro ===
Sehemu hii yenye urefu wa km 300, ilianza kujengwa na ushirikiano wa makampuni ya Yapi Merkezi kutoka [[Uturuki]] na Mota-Engil ya [[Ureno]]. Ujenzi ulianza mwezi Aprili 2017. <ref name="2R">{{Cite web|url=https://www.tanzaniainvest.com/transport/dar-es-salaam-morogoro-standard-gauge-railway-works-start|date=14 April 2017|title=Dar Es Salaam-Morogoro Standard Gauge Railway Works Start|accessdate=16 September 2018|publisher=TanzaniaInvest.com|author=TanzaniaInvest.com}}</ref> Ujenzikwa umefadhiiwakufadhiliwa kwa njia ya mkopo wa [[Dolar ya Marekani|dolar]] za Marekani bilioni 1.2 kutoka Eximbank ya Uturuki. <ref name="3R">{{Cite web|accessdate=16 September 2018|url=http://www.theeastafrican.co.ke/business/Tanzania-secures-SGR-loan-from-Stanchart/2560-4761190-lejnj/index.html|date=15 September 2018|first=Allan|author=Olingo|title=Tanzania secures $1.46 billiob SGR loan from Stanchart}}</ref> Kufikia Februari 2019, asilimia 42 ya kazi kwenye sehemu hii iliripotiwa kuwa kamili. <ref name="ProR">{{Cite web|url=https://www.thecitizen.co.tz/News/-Construction-of-Dar-Moro-SGR-reaches-42pc/1840340-4977976-951lkk/index.html|title=Construction of Dar-Moro SGR reaches 42pc|date=12 February 2019|accessdate=16 February 2019|first=Hellen|author=Nachilongo}}</ref> Mnamo Mei 2019, ilitangazwa kuwa asilimia 60 zilikamilika na kwamba treni za kwanza za abiria zilitarajiwa kuanza huduma mnamo Desemba 2019. Kwenye mwezi wa Oktoba serikali ilitangaza mchakato wa kununua [[Behewa|mabehewa]] ya mizigo 1,430, [[injinitreni]] 20 na mabehewa ya abiria 60<ref>{{Cite web|title=Tanzania Standard Gauge Railway to Start Operations in December 2019|url=https://www.tanzaniainvest.com/transport/dar-morogoro-railway-start-operation-december-2019|work=TanzaniaInvest|date=2019-07-10|accessdate=2019-11-03|language=en-US}}</ref>.
 
Kufikia Februari 2019, asilimia 42 ya kazi kwenye sehemu hii iliripotiwa kukamilika. <ref name="ProR">{{Cite web|url=https://www.thecitizen.co.tz/News/-Construction-of-Dar-Moro-SGR-reaches-42pc/1840340-4977976-951lkk/index.html|title=Construction of Dar-Moro SGR reaches 42pc|date=12 February 2019|accessdate=16 February 2019|first=Hellen|author=Nachilongo}}</ref> Mnamo Mei 2019, ilitangazwa kuwa asilimia 60 zilikamilika na kwamba treni za kwanza za abiria zilitarajiwa kuanza huduma mnamo Desemba 2019. Kwenye mwezi wa Oktoba serikali ilitangaza mchakato wa kununua [[Behewa|mabehewa]] ya mizigo 1,430, [[injinitreni]] 20 na mabehewa ya abiria 60<ref>{{Cite web|title=Tanzania Standard Gauge Railway to Start Operations in December 2019|url=https://www.tanzaniainvest.com/transport/dar-morogoro-railway-start-operation-december-2019|work=TanzaniaInvest|date=2019-07-10|accessdate=2019-11-03|language=en-US}}</ref>.
Katika Novemba 2019 [[Shirika la Reli Tanzania|TRC]] ilieleza kuwa kazi zimecheleweshwa na mvua ilhali asilimia 70 zilikamilika.
 
Katika Novemba 2019 [[Shirika la Reli Tanzania|TRC]] ilieleza kuwa kazi zimecheleweshwa na mvua ilhali asilimia 70 zilikamilikazimekamilika.
Mpango wa awamu la kwanza una vituo sita: [[Dar es Salaam]], [[Pugu]], [[Soga]], [[Ruvu (Kibaha)]], [[Ngerengere]] na [[Morogoro (mji)|Morogoro]] . Treni tatu zimepangwa kusafari pande zote kila siku. <ref>{{Cite web|title=Dar SGR project inches closer to reality as locomotives to test phase one arrive|date=11 May 2019|url=https://www.pressreader.com/kenya/the-east-african/20190511/282093458180582|accessdate=12 May 2019|author=Allan Olingo}}</ref>
 
Mpango wa awamu laya kwanza una vituo sita: [[Dar es Salaam]], [[Pugu]], [[Soga]], [[Ruvu (Kibaha)]], [[Ngerengere]] na [[Morogoro (mji)|Morogoro]] . Treni tatu zimepangwa kusafarikusafiri pande zote kila siku. <ref>{{Cite web|title=Dar SGR project inches closer to reality as locomotives to test phase one arrive|date=11 May 2019|url=https://www.pressreader.com/kenya/the-east-african/20190511/282093458180582|accessdate=12 May 2019|author=Allan Olingo}}</ref>
 
=== Sehemu ya Morogoro-Dodoma-Makutopora ===