Abrahamu mkaapweke : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Abraham Kidunaia (Menologion of Basil II).jpg|thumb|300px|[[Mchoro mdogo]] katika ''[[Menologion of Basil II]]''.]]
'''Abrahamu mkaapweke''' (alifariki [[mwaka]] [[366]]) alikuwa [[mmonaki]] wa [[Mesopotamia]] katika [[karne ya 4]] [[BK]] aliyetumwa kama [[padri]] [[mmisionari]] huko Beth-Kiduna; ndiyo sababu anaitwa Kidunaia.
 
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe [[29 Oktoba]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Maisha==
Line 11 ⟶ 13:
Alitoka mara moja tu, ili kumuongoa [[mtoto]] wa [[ndugu]] yake kutoka [[maisha]] maovu.
 
[[Maisha]] yake yaliandikwa na [[Efrem Mshamu]].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe [[29 Oktoba]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==